Search results

  1. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Optometry (BSO)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Optometry (BSO) Pass 3 kutoka katika masomo ya Physics, Biology and Chemistry or Advanced Mathematics yenye jumla ya angalau point 6. mwombaji lazima awe na angalau ufaulu wa "C" somo la Physics na angalau "D" somo la Biology na...
  2. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in (BSP) Physiotherapy

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in (BSP) Physiotherapy Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye angalau point 6. Mwombaji angalau awe na ufaulu wa "C" somo la Chemistry na angalau "D" somo la Biology na "E" somo la Physics. Jinsi ya...
  3. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Sciences in Health Laboratory (BSHL)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Sciences in Health Laboratory (BSHL) Pass 3 kwutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye angalau point zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na ufaulu wa "C" somo la Chemistry na angalau "D"somo la Biology na "E" somo la...
  4. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS) Pass 3 kwenye masomo ya Chemistry, Biology na either Physics au Advanced Mathematics au Nutrition au Geography au Agriculture yenye jumla ya point zisizopungua 6. Mwombaji lazima awe na...
  5. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Nursing (BScN)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Nursing (BScN) Pass 3 za masomo ya Chemistry, Biology na either Physics au Advanced Mathematics au Nutrition yenye jumla ya point 6. Mwombaji lazima awe na amgalau ufaulu wa "C" somo la Chemistry and na angalau "D" somo la Biology...
  6. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Prosthetic and Orthotics (BSc PO)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Science in Prosthetic and Orthotics (BSc PO) Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye jumla ya angalau point 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu angalau wa "C" kwenye somo la Chemistry na angalau "D" somo la Biology na...
  7. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Bachelor of Science in Radiation Therapy Technology (BScRTT)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Bachelor of Science in Radiation Therapy Technology (BScRTT) Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye jumla ya angalau point 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu angalau wa "C" kwenye somo la Chemistry na angalau "D" somo la Biology na "E"...
  8. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS) Pass 3 kutoka kwenye masomo ya Physics, Chemistry na Biology yenye jumla ya angalau point 6. Mwombaji lazima awe na ufaulu angalau wa "C" kwenye somo la Chemistry na angalau "D" somo la Biology na "E" somo...
  9. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Pharmacy (BPharm)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Bachelor of Pharmacy (BPharm) (ngazi ya degree). Pass tatu kutoka katika masomo ya Physics, Chemistry na Biology zenye pont zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na "D" kwenye somo la Chemistry, Biology and Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa...
  10. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Dental Surgery (DDS)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Dental Surgery (DDS) ngazi ya degree. Pass tatu kutoka katika masomo ya Physics, Chemistry na Biology zenye pont zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na "D" kwenye somo la Chemistry, Biology and Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa...
  11. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Medicine (MD/MBBS)

    Fahamu Sifa na Vigezo vya Kusoma Kozi ya Doctor of Medicine (MD/MBBS) Pass tatu kutoka katika masomo ya Physics, Chemistry na Biology zenye pont zisizopungua 6. Mwombaji angalau awe na "D" kwenye somo la Chemistry, Biology and Physics. Jinsi ya Kupata Points Kwa Waliomaliza A' Level kabla ya...
  12. W

    Sifa na Vigezo vya Kusoma Nursing (Uuguzi) Diploma na Cheti

    Vigezo vya Kujiunga na Kozi ya Nusing Mwombaji anapaswa kuwa na Cheti cha Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) chenye angalau ufaulu wa masomo manne (4) yasiyo ya kidini, ikiwemo Kemia, Baiolojia, na Fizikia/Hisabati za Uhandisi. Ufaulu wa daraja D somo la Hisabati na Kiingereza utazingatiwa kama...
  13. W

    Ratiba ya Mtihani Kidato Cha Nne 2026 (NECTA CSEE Timetable)

    Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne (CSEE) huu ni mtihani wa mafanikio unaotolewa kwa watahiniwa waliomaliza miaka minne ya elimu ya sekondari. Kalenda ya Mitihani: Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne (CSEE) hufanyika wiki ya kwanza ya Novemba kila mwaka. Malengo ya mtihani huu ni kutathmini ujuzi...
  14. W

    Ratiba ya Mtihani Darasa la Nne 2026 (SFNA NECTA Timetable)

    Mtihani wa Kitaifa ya Darasa la Nne (SFNA) ni tathmini ya awali inayolenga kufuatilia ujifunzaji wa wanafunzi. Ili kutoa maoni ambayo walimu, wanafunzi na wadau wengine wa elimu wanaweza kutumia ili kuboresha ufundishaji na ujifunzaji. Ratiba ya Mtihani hutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa...
  15. W

    Ratiba ya Mtihani Darasa la Saba 2026 (NECTA PSLE Timetable)

    Mtihani wa Darasa la Saba (Primary School Leaving Examination - PSLE) ni mtihani wa kitaifa unaosimamiwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi. Mtihani huu hufanyika wiki ya pili ya Septemba kila mwaka. Malengo ya mtihani huu ni kutathmini...
  16. W

    Jinsi ya Kukata Rufaa Kama Hujapata Mkopo HESLB

    Iwapo mwanafunzi/Mwombaji wa mkopo hajaridhika na ki-wango cha mkopo alichopatiwa au hajapangiwa mkopo anatakiwa kufanya nini? Fursa ya kukata rufaa hutolewa baada ya kukamilisha zoezi la kupanga mikopo Ikitokea mwombaji akakosa kwenye rufaa, atapata fursa ya kuomba tena kwa mwaka unaofuata...
  17. W

    NACTVET Guidebook (Diploma & Certificate) 2026/2027

    NACTVET GUIDEBOOK INAKUSAIDIA KUFAHAMU VITU MHIMU Mfano 1. Kozi za Certificate na Diploma zinazotolewa kila chuo 2. Gharama/ada za kila kozi kwa kila chuo 3. Vigezo vya kujiunga na kozi zote PAKUA PDF HAPA (NACTVET Guidebook 2026/27)
  18. W

    Mambo Muhimu ya Kuzingatiwa Wakati wa Kuomba Mkopo HESLB

    Haya Hapa Mambo gani muhimu yanapaswa kuzingatiwa wakati wa kuomba mkopo HESLB. Hakikisha umesaini fomu ya maombi ya mkopo Hakikisha mdhamini wako amesaini fomu yako katika eneo lake Hakikisha fomu yako imesainiwa na kugongwa mihuri na Serikali ya Mtaa au Kijiji chako Hakikisha fomu yako...
  19. W

    Jinsi ya Kuomba Mkopo Elimu ya Juu HESLB

    Mkopo wa elimu ya juu unaombwaje? Maombi yote yanafanywa kwa njia ya mtandao wa Bodi ya Mikopo Kila mwombaji anapaswa kusoma kwa makini mwongozo unaotolewa ndani ya mwaka husika wa masomo Mwombaji atumie namba ya mtihani wa kidato cha nne kujisajili Hali ya Kijamii na Kiuchumi (Zinazoongeza...
  20. W

    Documents za Kuandaa ili Kuomba Mkopo HESLB

    Utahitaji kuandaa taarifa zako binafsi, vyeti vya elimu, nyaraka zinazothibitisha uhitaji (kama yatima au ulemavu), na taarifa za wadhamini. Nyaraka hizi zote zitahitajika kupakiwa kidijitali kupitia Mfumo wa OLAMS HESLB wakati wa mchakato wa maombi. Sifa za Kuomba Mkopo wa Elimu HESLB Ili...