Search results

  1. W

    Form Five Selection 2026/2027 Zanzibar - MOEZ

    Angalia hapa majina waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo 2026 Zanzibar. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imekamilisha zoezi la kuwapanga wanafunzi waliopata ufaulu wa kuendelea na Kidato cha Tano kwa mwaka 2026/2027 ambao wametimiza vigezo vya kujiunga vilivyowekwa. Wanafunzi hawa...
  2. W

    Matokeo Ya Mock Kidato Cha Pili 2026/2027

    Angalia hapa Matokeo Ya Mock Kidato Cha Pili 2026/2027 Mikoa Mbalimbali. MOROGORO REGIONAL FORM TWO TERMINAL EXAMINATION RESULTS, 20 MOROGORO REGIONAL FORM SIX MOCK EXAMINATION RESULTS 2025 KAGERA FORM TWO REGIONAL MOCK ASSESSMENT RESULTS - 2025
  3. W

    Matokeo Ya Mock Kidato Cha Nne 2026/2027

    Angalia hapa Matokeo ya Mock Kidato cha Nne 2026 mikoa mbalimbali. MANYARA WilayaBABATI(V)Angalia shule →WilayaBABATI MJINIAngalia shule →WilayaHANANGAngalia shule →WilayaKITETOAngalia shule →WilayaMBULU DCAngalia shule →WilayaMBULU TCAngalia shule →WilayaSIMANJIROAngalia shule →
  4. W

    Mfumo wa Maombi ya Vyuo vya Ualimu (TCMS)

    Teacher Colleges Management System (TCMS) Mfumo wa Udahili na Usimamizi wa Vyuo vya Ualimu. Mfumo huu umeundwa kwa ajili ya watumiaji wote wa mfumo, wakiwemo wasimamizi wa vyuo, wafanyakazi. Tembelea Kiunga cha Mfumo kwa kutumia kivinjari (browser) chochote kisha andika kiunganishi (link) cha...
  5. W

    Majina Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2026/2027

    Angalia hapa kuangalia "form five selection 2026/2027" au Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2026. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati kwa mwaka 2026 yalitangazwa rasmi tarehe 1 Juni 2026 na Ofisi ya Rais - TAMISEMI. Jumla ya wanafunzi...
  6. W

    Jinsi Ya Kupata Cheti Mbadala NECTA Form Four/Six Kama Umepoteza

    Fahamu Jinsi Ya Kupata Cheti Mbadala NECTA CSEE/ACSEE Umepoteza. Hakikisha kwamba unavyo viambatisho vifuatavyo :- lwapo cheti kimepotea, tangazo la gazeti la upotevu wa cheti (taarifa muhimu kwenye tangazo hilo ni Jina la mtahiniwa, Namba ya mtihani, aina ya mtihani, mwaka wa mtihani, jina la...
  7. W

    UCHAMBUZI WA TAMTHILIYA YA USALITI MJINI (FRANCIS IMBUGA)

    Soma Uhakiki Wa Tamthiliya Ya Usaliti Mjini iliyoandikwa na Francis Imbuga | Uhakiki wa Tamthiliya ya Usaliti Mjini (Francis Imbuga) Form 5 & 6. MWANDISHI: FRANCIS IMBUGA WACHAPISHAJI: ARICAN EDUCATIONAL PUBLISHERS. MWAKA: 1976 MANDAHARI: NCHI YA AFRICA YA KAFIRA SOMA UCHAMBUZI KAMA HAPA>>>
  8. W

    Uchambuzi wa Tamthiliya ya Shujaa Mirambo (Emmanuel Mbogo)

    Uhakiki wa Tamthiliya ya Shujaa Mirambo iliyoandikwa na Emmanuel Mbogo UHAKIKI WA TAMTHILIYA YA SHUJAA MIRAMBO MWANDISHI: EMMANUEL MBOGO WACHAPISHAJI: APE NETWORK MWAKA: 2021 MANDAHARI: TANZANIA SOMA UCHAMBUZI KAMILI HAPA>>>
  9. W

    POINTS ZA MADARAJA YA UFAULU NECTA KIDATO CHA SITA (DIVISON 1 - 4)

    Fahamu Pointi za Madaraja zinazotumika Baraza la Mithani la Tanzania (NECTA) kwenye Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) kama inavyofafanuliwa hapo chini.
  10. W

    UCHAMBUZI WA RIWAYA YA VUTA N'KUVUTE

    UHAKIKI WA RIWAYA YA "VUTA N'KUVUTE” WACHAPISHAJI: MKUKI NA NYOTA MWANDISHI: ADAM SHAFI ADAM MWAKA: 1999 UTANGULIZI Vuta n'Kuvute ni riwaya ya Kiswahili iliyoandikwa na mwandishi mahiri na mkongwe Shafi Adam Shafi na kuchapishwa kwa mara ya kwanza na Mkuki na Nyota Publishers Dar es...
  11. W

    UCHAMBUZI WA DIWANI YA FUNGATE YA UHURU

    KITABU: FUNGATE YA UHURU MWANDISHI: MOHAMED S. KHATIBU WACHAPISHAJI: DUP MWAKA: 1988 UTANGULIZI Fungate ni kipindi cha siku saba baada ya harusi..Ni kipindi ambacho Bwana na bibi harusi hula na kunywa tena milo ya kuchagua wakati wote wa fungate.Fedha na vifaa vitumiwavyo na maharusi huwa...
  12. W

    BOOK ANALYSIS: A MAN OF THE PEOPLE BY CHINUA ACHEBE

    JINA LA KITABU : A MAN OF THE PEOPLE KUCHAPISHWA: 1966 MWANDISHI: CHINUA ACHEBE SOMA UCHAMBUZI KAMILI WA KITABU
  13. W

    Uchambuzi wa Tamthiliya ya Morani

    UHAKIKI WA TAMTHILIYA YA MORANI KITABU – MORANI MWANDISHI – E. MBOGO WACHAPISHAJI – DUP MWAKA – 1993 UTANGULIZI Morani ni tamthiliya inayozungumzia juu ya matatizo yaliyoikumba nchi ya Tanzania mwaka 1980 na kusababisha hali ngumu ya uchumi kwa tabaka la chini. Matatizo haya ni kama...
  14. W

    CUTTING POINT SELECTION FORM FIVE 2026/2027

    Hizi ndio Cutting Point zilizotumika katika selection kidato cha tano combination zote 2026
  15. W

    Jinsi ya Kupata Cheti Cha Kuzaliwa Online

    Fahamu Namna ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Mtandaoni Tanzania. Cheti cha kuzaliwa ni hati rasmi inayotolewa na RITA (Registration Insolvency and Trusteeship Agency). Inathibitisha jina lako, tarehe ya kuzaliwa, mahali ulipozaliwa na majina ya wazazi. Nyaraka Muhimu za Kuomba Cheti cha Kuzaliwa...
  16. W

    Jinsi ya Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa au Kifo RITA Online

    Fahamu jinsi ya Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa au Kifo RITA Online kwa matumizi mbalimbali kama kufanya maombi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB. RITA (Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini) inakusudia katika utoaji wa habari nzuri na thabiti juu ya matukio muhimu maishani, uunganishaji wadhamini...
  17. W

    Jinsi ya Kufanya Maombi ya Vyuo vya Afya Diploma na Certificate

    Fahamu jinsi ya kuomba chuo cha afya ngazi ya Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma). Maombi ya udahili wa vyuo vya afya hufanyika kwa njia ya mtandao kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (Central Admission System - CAS) unaosimamiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya...
  18. W

    Gharama za Kupata Cheti cha Kuzaliwa au Kifo

    Fahamu za kupata huduma za vyet RITA 1. Kupata Cheti cha Kuzaliwa 2. Kubadilisha Cheti cha Kuzaliwa (Old to New Birth Certificate) 3. Kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa 4. Kupata Cheti cha Kifo 5. Kuhakiki Cheti cha Kifo
  19. W

    Matumizi ya NIDA/Namba ya NIDA

    Fahamu Matumizi ya namba ya NIDA/NIN · Kuombea Kitambulisho cha Mkaazi (ZAN ID) . Kufungulia Bank Account · Kuombea Udahili kwa baadhi ya Vyuo · Kuombea Mkopo wa Elimu ya Juu ktk HESLB na/au ZHESLB · Kuombea Ufadhili wa Masomo (Scholarships) · Kuombea Kibali cha TCU (NOC Certificate)...
  20. W

    Matumizi ya Cheti cha Kuzaliwa

    Fahamu Matumizi ya Cheti cha Kuzaliwa · Kuombea Kitambulisho cha Taifa (NIDA ID) na/au Mkaazi (ZAN ID) · Kuombea Udahili kwa baadhi ya Vyuo · Kuombea Mkopo wa Elimu ya Juu HESLB na/au ZHESLB · Kuombea Ufadhili wa Masomo (Scholarships) e.g SAMIA Scholarship, MO Scholarship etc. · Kuombea...