Dirisha la kuomba mikopo na samia schorlarship limefunguliwa rasmi kwa mwaka wa masomo 2026/2027, huku mchakato wa uombaji mikopo na litafungwaAgosti 31, 2026.
Ni mhimu waombaji kuhakiki vyeti vya kuzaliwa au vya vifo vya wazazi (kwa wale waliofiwa na wazazi) kupitia RITA au ZCSRA na kupata namba za uhakiki kabla ya kuwasilisha maombi yao HESLB.
Waombaji wenye umri wa miaka 18 na kuendelea wanapaswa kuwasilisha Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN) pindi wanapojaza fomu za maombi ya mkopo, na kuwatoa hofu wale ambao bado hawajafikisha umri huo kuwa wataruhusiwa kuendelea na maombi hata kama hawana namba hiyo.
HESLB inatumia mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA) katika utambuzi wa waombaji, wazazi na wadhamini wao ili kuongeza ufanisi na usahihi wa taarifa zinazowasilishwa.
Jinsi ya Kufanya Maombi
Maombi yote yanafanyika kupitia OLAMS portal