
Teacher Colleges Management System (TCMS) Mfumo wa Udahili na Usimamizi wa Vyuo vya Ualimu. Mfumo huu umeundwa kwa ajili ya watumiaji wote wa mfumo, wakiwemo wasimamizi wa vyuo, wafanyakazi.
Tembelea Kiunga cha Mfumo kwa kutumia kivinjari (browser) chochote kisha andika kiunganishi (link) cha mfumo wa Udahili na Usimamizi vyuo vya Ualimu
https://tcm.moe.go.tz/
Baada ya kufungua hiyoo linki, Ukurasa wa nyumbani utafunguka. Kwenye ukurasa wa nyumbani kuna maelezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na Application status, Pia kuna paneli ya viunganishi vya Mfumo (System links) ambavyo ni Login, Kutengeneza akaunti ya mwombaji (Create Account) Mwongozo wa Udahili (Admission GuideBook).
Jinsi ya kuingia kwenye mfumo (login)
Hatua za kufuata ili kuweza kuingia kwenye mfumo
a) Tembelea link ya mfumo https://tcm.moe.go.tz
b) Nenda upande wa wa kulia sehemu imeandikwa System Links
c) Bonyenya kwenye Login.
- Tumia link hii kujisajili/Kuingia katika mfumo https://tcm.moe.go.tz/