Matokeo ya ACSEE 2026 kwa Mkoa wa Kilimanjaro yanaonesha jumla ya shule 82 zilizoorodheshwa kwa kuzingatia wastani wa ufaulu (GPA).
Shule iliyoongoza ni Agape Lutheran Junior Seminary ikiwa na GPA ya 1.6343 (Daraja B), ikifuatiwa na Keni Secondary School (GPA 1.6500) na St. James Seminary (GPA 1.7250).

Last edited: